Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mrigariga nawe unavutia?Kifupi Mama Sabrina unatafuta mwanaume mwenye mvuto sawia. Haijalishi utakuwa wa ngapi kwenye foleni...
Hii habari ya mazoezi unatafuta sababu tu.
naomba msaadaMaisha ndio haya haya sa ntaenda wapi,usishangae natamba afu we hauna chambi ,mi mwembamba ila napiga shoo za kitambi
Ndiyo tena mvuto wa kutosha yaani inapendeza. Ila sijui kama ni sahihi mimi kujijibia hilo swali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mrigariga nawe unavutia?
Oooh ntakucheki basi unipatie mazoezi,maana sitaki sura ngumu ngumuNdiyo tena mvuto wa kutosha yaani inapendeza. Ila sijui kama ni sahihi mimi kujijibia hilo swali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mnashindana mistari?
Karibu sana tujenge miili na mengineyo...Oooh ntakucheki basi unipatie mazoezi,maana sitaki sura ngumu ngumu
Sawa nakaribiaKaribu sana tujenge miili na mengineyo...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama Sabrina na deo kisandu nahisi Ni majirani
Mtu na kaka akee wanaishi wote mwanzaMama Sabrina na deo kisandu nahisi Ni majirani
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Bado haujampata jaman ila humu jf sidhani kama atapatikana humu wamejaa na masuruali yao ya vitambaa
Vipiiii si ndio mliojaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Vipiiii si ndio mliojaa
Badoo shunie huna kaka yako mzuri mzuri hivi uniunganisheBado haujampata jaman ila humu jf sidhani kama atapatikana humu wamejaa na masuruali yao ya vitambaa
Sijui katoka jela?Mtu na kaka akee wanaishi wote mwanza
Kwani uongo hamjuo kuvaa,kupangilia nguo yaan vituko tupu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Unahisi huku mtaan hawapo [emoji23]Anatafutwa mtu hapo apewe nyapu