Nataka mwalimu wa mazoezi

Nataka mwalimu wa mazoezi

View attachment 687458nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji motivation jamani,mwalimu wangu ntakupenda kwa dhati maana nitapata vitu vingi toka kwako ikiwemo mazoezi ya kutosha,so kama kuna mwalimu humu ana body kama la huyu mkaka aje pm tuyajenge,pia ka sura kawepo jamani sitaki kutishwa mie wakati wa mazoezi
Tahadhari msome na kuelewa sio uje mwalimu upo upo na huna mwili wa mazoezi utanikosea adabu na akili yangu utaichosha, hakika sitofanya mazoezi vyema na utanipotezea muda tu ntakuwa nasahau kuja mazoezini,nataka mwalimu anaevutia ili niwe napenda sana mazoezi,na kila nikikumbuka mazoezi nafurahi,itanifanya akili yangu iwe inamkumbuka mwalimu kila saa ,mwalim akitabasam tu unafurahia .Mwalimu awe na lugha laini sipendi watu wakali anielewe nilivyo tu
Hebu tupende kufanya kitu huku unazungukwa na vitu vizuri akili nayo inakuwa nzuri na afya
Nitafte PM kama uko serious, ntakupeleka sehemu after miezi 6 straight unakuwa hvo. Siwezi tu kuweka picha yangu hapa. Ila uwe unapatikana Dar
 
Nitafte PM kama uko serious, ntakupeleka sehemu after miezi 6 straight unakuwa hvo. Siwezi tu kuweka picha yangu hapa. Ila uwe unapatikana Dar
Oooohhhh nikija ntakucheki mwalimu mzuri eee
 
IMG_0874.jpg
IMG_0874.jpg
Halafu mkuu inabidi kwanza ajibu hili swali isije ikawa anataka kusumbua mkaka wa watu bure!....Sijui hata kama anajua ilivyo taabu kupata six pack halafu from the middle of the nowhere unaenda kumsumbua mkaka wa watu na kimbaombao chako!!
 
Wakak wenye six pack wanatupenda sana flat
 
Back
Top Bottom