Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Hapa nia moja tuWabongo mna visa, melo atapiga ishu gani sasa, Nshaona mmeleta ligi, Tambianeni hapa uwanja wenu, mkitoka apo tambianeni magari, tutambie pia uko ulaya sehemu gani, tutambie pia ulaya kitengo au mpanga box. Tambeni wakuu.
tunaizingizia tu tutu usikute majani ya mpapai ka mix na mperaDuh leo naona umepiga mbichi kabisa naona sasa inakaukia kichwani
Mkuu miliki mke/mme wako sio watumiaji wa JF bhanaKutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.
uweziKutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.
Lugha za majahazi usitumie muda mwingi kuzifikiria kwani za uzushi hivyo ukielewe endeleza maisha mengine.
Tanzania tuitakayo inakuja tuwe na subra.
hahaaKwani walitangaza kua wanauza?
mbona ningeinunua kitambo we unafikir unaela peke yako
hahaaaaDuh leo naona umepiga mbichi kabisa naona sasa inakaukia kichwani