Nataka ni inunue JamiiForum!

Nataka ni inunue JamiiForum!

Wabongo mna visa, melo atapiga ishu gani sasa, Nshaona mmeleta ligi, Tambianeni hapa uwanja wenu, mkitoka apo tambianeni magari, tutambie pia uko ulaya sehemu gani, tutambie pia ulaya kitengo au mpanga box. Tambeni wakuu.
Hapa nia moja tu
Angakia mapungufu ya JamiiForums then anzisha yako soon watu wataanza kuhama humu
 
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.
Mkuu miliki mke/mme wako sio watumiaji wa JF bhana
 
Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.
uwezi
 
anayejisikia kuinunua now ainunue tu ila baada ya miaka 12 ajue ntakuja kuinunua na itakuwa mali yang
 
Back
Top Bottom