Nataka ni inunue JamiiForum!

Nataka ni inunue JamiiForum!

Kutokana na uwepo wangu katika hii forum sasa niwakati wangu baada ya kujiridhisha nataka niinunue JamiiForum nakwakuwa naishi nje sitakuwa na banwa na sheria za huko Tanzania hivyo ni mpango wangu kulifanya jukwa huru hakuna post itakayofutwa!
Maoni yenu wadau nitakao wamiliki soon.

Wape offer ambayo hawawezi kuikataa wamiliki, labda wawe minor shareholders na ahadi za kuendeleza integrity na openess of JF where people dare to talk openly. The home of great thinkers.

Unaweza kuiboresha sana kwa kupunguza matusi, kejeri na kebehi, improve its moderation, kuipanua kwenye nchi za jirani na dunia nzima na kuifanya iwe kama Reddit.

Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom