Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.

Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.

" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.

Mbaya zaidi anakula na demu wako.
 
Madoctor wenyewe wana hali ngumu ila hawasemi kwanini walimu mnalialia sana
 
Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.

Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.

" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.

Mbaya zaidi anakula na demu wako.
Anzisha vidarasa vya tuition.utaokota okaota hata elf30 au 40,si haba.itaendelea kukua .sema inategemea na somo lako.kama unafundisha civics basi changa upya karata ila kama ni masomo mengine yenye kombination utapata watu
 
Back
Top Bottom