Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

Nataka niandae mdahalo hapa JF kati ya Lucas Mwashambwa na Erythrocyte

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte .
kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk Cost Fallacy 2 wakati kona ya Erythrocyte atakuwepo ndg Salary Slip .
Tuombe uzima kuelekea siku yenyewe.
Wanakwenda kugaragazwa kijana mzalendo Lucas Mwashambwa yupo na madini mengi sana!
 
Thubutu!

Mkitaka muone vituko Ulimwenguni, basi mdahalo huo ufanyike.

Mie naomba tusikie sauti zao.😅


Aikambe🤭
 
Lukasi akikubali huu mdahalo nachangia laki 3 keshi!
 
Acha kumshusha hadhi Lucas. Kisiasa bado Erythrocyte ni mdogo kwa Lucas
 
no sawa na chadema ya sasa na ccm ya leo wote wana bosi mmoja, wanamtumikia bwana mmoja …
 
Back
Top Bottom