MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
😁😁Malizia bia yako ukalale wewe, kwanza unakunywa bia za wastaafu, pilsner
Wanakwenda kugaragazwa kijana mzalendo Lucas Mwashambwa yupo na madini mengi sana!Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte .
kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk Cost Fallacy 2 wakati kona ya Erythrocyte atakuwepo ndg Salary Slip .
Tuombe uzima kuelekea siku yenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizia bia yako ukalale wewe, kwanza unakunywa bia za wastaafu, pilsner
Hayo ni mashindano kati ya CHAWA na binadamuNawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg Lucas mwashambwa na Erythrocyte .
kwenye kona ya Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg The Sunk Cost Fallacy 2 wakati kona ya Erythrocyte atakuwepo ndg Salary Slip .
Tuombe uzima kuelekea siku yenyewe.
Bia za pensioners [emoji23][emoji23]Malizia bia yako ukalale wewe, kwanza unakunywa bia za wastaafu, pilsner
Ni Bibi, sio Bwana.no sawa na chadema ya sasa na ccm ya leo wote wana bosi mmoja, wanamtumikia bwana mmoja …