Nawasiliana na uongozi wa juu wa JF kuhusu kupata kibali cha kuandaa mdahalo hapa JF, TOPIC nitaitoa mapema kabisa kwa washiriki kujiandaa.
Mdahalo utakuwa kati ya manguli wawili wa CCM na Chadema ndg
Lucas mwashambwa na
Erythrocyte .
kwenye kona ya
Lucas mwashambwa pia atakuwepo ndg
The Sunk Cost Fallacy 2 wakati kona ya
Erythrocyte atakuwepo ndg
Salary Slip .
Tuombe uzima kuelekea siku yenyewe.