Nataka nianze biashara ya kuuza ugali na dagaa mchele

Kwa buku na bei ya unga sasa itakukata walau buku jex
 
Bonge la idea kuna wadau wako pale karibu na Meeda Sinza wanauza sana ugali, dagaa mchele na kachumbari mida ya usiku. Cha muhimu upate location yenye mzunguko wa watu
 
ruka nayo hii halafu location,tafuta sehemu kwenye vijiwe vya boda,gereji,masokoni weka goli lako.kukichangamka weka na mapande ya nyama,palte ya pande na ugali uza aftatuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…