Inakuwaje wadau
Nimeambiwa kupitia betting unaweza ukaweka buku ukala laki hadi milioni
Pia ukiweka milioni moja ukimpa man united anashinda unaweza pata hata faida laki tano (kitonga hivi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeona isiwe tabu wanang wa JF wapo ngoja wanipe muongozo
Najua humu wapo wazee wa kutandika mikeka sugu
Swali: je ipo wapi hasara ya kubeti kama ndo mambo yapo kitonga hivyo?
Leo nitautandika mkeka wangu wa kwanza Man u anaua mtu
View attachment 1944498