Nataka nianze kubeti, vp inalipa?

Nataka nianze kubeti, vp inalipa?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447
Inakuwaje wadau

Nimeambiwa kupitia betting unaweza ukaweka buku ukala laki hadi milioni

Pia ukiweka milioni moja ukimpa man united anashinda unaweza pata hata faida laki tano (kitonga hivi)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeona isiwe tabu wanang wa JF wapo ngoja wanipe muongozo

Najua humu wapo wazee wa kutandika mikeka sugu
Swali: je ipo wapi hasara ya kubeti kama ndo mambo yapo kitonga hivyo?

Leo nitautandika mkeka wangu wa kwanza Man u anaua mtu

file-20190129-108334-1n421ev.jpg
 
View attachment 1944498
Kuwa making usije ukaji bet tu mkuu
 
Karibu kikubwa kukadiria odds tu.
Usikurupuke kwenye kubet unatakiwa uwe great thinker.

SUBSCRIBED 🔔
 
Yanga kanichania mkeka wadau ila mtonyo ulikuwa unasoma vizuri
 
Back
Top Bottom