Nataka nianze kuishi ghetto

Nataka nianze kuishi ghetto

geraldincredible

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
2,035
Reaction score
7,223
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha.

Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na kuendelea.

ASANTE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.
 
Mkuu unanikumbusha nilivoishi kwenye shared apartment hapa Denmark. Kuna jamaa kutoka Bangladesh alikuwa anapenga makamasi na kusukutua mdomo kwenye sink ya jikoni nilimbamba live. Nikasema potelea mbali na ubahiri sasa nimepanga studio nina amani
 
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha.

Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na kuendelea.

ASANTE

Sent using Jamii Forums mobile app

Ili ufaidi maisha ya ghetto ungeanza na chumba cha elfu 25,hicho cha 50k ni hotel kabisa sio ghetto

Sent using IPhone X
 
Usikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.

Ghetto lazima washikaji watakuja kuhamia tena sio chini ya wawili halafu hawachangii hata senti tano utanuna hadi utazoea[emoji23][emoji23]

Sent using IPhone X
 
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha.

Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na kuendelea.

ASANTE

Sent using Jamii Forums mobile app
Mcheki huyu jamaa atakusaidia
TheDreamer Thebeliver
 
Back
Top Bottom