Nataka nianze kuishi ghetto

Nataka nianze kuishi ghetto

Ghetto lazima washikaji watakuja kuhamia tena sio chini ya wawili halafu hawachangii hata senti tano utanuna hadi utazoea[emoji23][emoji23]

Sent using IPhone X
😂😂 Watakuja kufanyia yao au sio hapo kijana ndio atajua kuwa hajui ila ni mazoea tu aliyokuwa nayo dhidi ta washkaji zake
 
Gheto ina code zake...ukimwachia mwana ufunguo unapigwa technical exile...

Kama mwana nilimuacha amepunzika gheto kwa na kurudi jion ananiambia ana mgeni so nitafute pa kupunzika usiku huo...dah inakera kinoma..na wakishakulana hamna kufua mashuka wala ni ni...full kuachiana janaba ...
 
Njoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000×6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni.
Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000.
Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio dalali ni mwenye nyumba. 0769865901

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makongo juu..kuna vumbi na barabara ni mbovu kama tupo ngorongoro...

Kwa maana nyingine hapafai kwa matumizi...

OVAAA....
 
That is too expensive......nataka chumba kimoja kuanzia 50 na kuendelea kulipa 150 per month bado sijafika huko madamu...all in all thanks u
Njoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000×6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni.
Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000.
Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio dalali ni mwenye nyumba. 0769865901

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂
duh!
[1QUOTE="KENZY, post: 34437872, member: 345804"]
Hilo li dar lenu napajua ubungo tu kwanza limkoa libaya joto kama upo pembezoni mwa jehanam😂😂 Mkuu simjua dalali yoyote huko.
[/QUOTE]
 
Kukaa mwenyewe ni raha zaidi since unakuwa free mno na kufanya yako na hakuna wa kukuuliza jambo .
Usikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000×6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni.
Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000.
Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio dalali ni mwenye nyumba. 0769865901

Sent using Jamii Forums mobile app
vumbi la makongo juu ni balaa plus usafiri ni majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gheto ina code zake...ukimwachia mwana ufunguo unapigwa technical exile...

Kama mwana nilimuacha amepunzika gheto kwa na kurudi jion ananiambia ana mgeni so nitafute pa kupunzika usiku huo...dah inakera kinoma..na wakishakulana hamna kufua mashuka wala ni ni...full kuachiana janaba ...

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using IPhone X
 
Ule Uzi wa Ulianzaje kuishi ghetto siuoni,ntumieni link bas
 
Back
Top Bottom