geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
Washikaji wenye vichwa vya panzi usijaribu kukaa nao utajutia
Hilo li dar lenu napajua ubungo tu kwanza limkoa libaya joto kama upo pembezoni mwa jehanam😂😂 Mkuu simjua dalali yoyote huko.Mkuu kenzy nataka kuishi peke yangu ......Kama una connection na dalali mitaa hyo niliyoitaja fanya kuni assist kiongozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Achunge "O" position washkaji wataivunja kimasihara humo humo ghettoWashikaji wenye vichwa vya panzi usijaribu kukaa nao utajutia
Mkuu unanikumbusha nilivoishi kwenye shared apartment hapa Denmark. Kuna jamaa kutoka Bangladesh alikuwa anapenga makamasi na kusukutua mdomo kwenye sink ya jikoni nilimbamba live. Nikasema potelea mbali na ubahiri sasa nimepanga studio nina amaniUsikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.
Wakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha.
Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na kuendelea.
ASANTE
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.
Mcheki huyu jamaa atakusaidiaWakuu kuna uzi jinsi gani ulianza kuishi ghetto humu. Umenivutia nimeona nichukue room nione maisha yakoje ombi langu kama kuna dalali pande za Ubungo, Kimara na Mwenge anisaidie nipate chumba nianze maisha.
Kama kutakuwa na dalali anicheki PM tuyajenge nataka chumba kuanzia elfu 50 na kuendelea.
ASANTE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa unaishi wapi tuanzie hapo kwanza alaf tuje kwenye mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa unaishi wapi tuanzie hapo kwanza alaf tuje kwenye mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili ufaidi maisha ya ghetto ungeanza na chumba cha elfu 25,hicho cha 50k ni hotel kabisa sio ghetto
Sent using IPhone X