geraldincredible
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,035
- 7,223
- Thread starter
-
- #21
Mcheki huyu jamaa atakusaidia
TheDreamer Thebeliver
๐๐ Watakuja kufanyia yao au sio hapo kijana ndio atajua kuwa hajui ila ni mazoea tu aliyokuwa nayo dhidi ta washkaji zakeGhetto lazima washikaji watakuja kuhamia tena sio chini ya wawili halafu hawachangii hata senti tano utanuna hadi utazoea[emoji23][emoji23]
Sent using IPhone X
Njoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000ร6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni.
Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000.
Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio dalali ni mwenye nyumba. 0769865901
Sent using Jamii Forums mobile app

Usikae na mtu kaa mwenyewe kama haujaoa lakini. Kukaa na mtu utakereka sana. Autakua huru kufanya mambo yako. Utalala nje siku zingine mshkaji akitaka kula mzigo na hapo ndio vijana wanasahau geto sio sehemu ya kulia mizigo ni sehemu umepoa wakati unatafuta maisha kwaiyo geto lazima paheshimike sana.
vumbi la makongo juu ni balaa plus usafiri ni majangaNjoo makongo juu chumba na sebule ni 150,000ร6 unapata choo bafu chako. Nyumba ina vyumba 5 na vyoo 5. Maji umeme upo usalama upo wa kutosha ni dakika 3 hadi kituoni.
Magari ya huku ni makumbusho/makongo juu. Nauli 500 bajaji 1000.
Makongo ipo karibia na choo cha ardhi na mlimani city mm sio dalali ni mwenye nyumba. 0769865901
Sent using Jamii Forums mobile app
Gheto ina code zake...ukimwachia mwana ufunguo unapigwa technical exile...
Kama mwana nilimuacha amepunzika gheto kwa na kurudi jion ananiambia ana mgeni so nitafute pa kupunzika usiku huo...dah inakera kinoma..na wakishakulana hamna kufua mashuka wala ni ni...full kuachiana janaba ...