Unataka kununua jumla au rejareja ,Bidhaa zako unazotaka kununua ni zipi?Wakuu habari,
Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe.
Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe.
Natanguliza shukrani za dhati
Ni simu mkuu, nahitaji moja tu yaani rejarejaUnataka kununua jumla au rejareja ,Bidhaa zako unazotaka kununua ni zipi?
Kuna nyuzi pia humu nyiingi zinaeleza kuhusu manunuzi mtandaoni unaweza kuwa unapitia ukusubiri mawazo mengine
Kama ni moja Kwa china nunulia kwa AliExpress ambao ndio ya rejareja ,Alibaba wanauza sana sana jumla ..Kuna Amazon pia ya wamarekani,ebay ....Ni simu mkuu, nahitaji moja tu yaani rejareja
Asante sana bro,, nimeingia huko na bidhaa nimeikuta. Chaajabu mbona bei ipo juu sana? Simu ni redmi note 13 huko nimeona bei yake inaanzia 420k na mbeya niliulizia bei yake ni 500kKama ni moja Kwa china nunulia kwa AliExpress ambao ndio ya rejareja ,Alibaba wanauza sana sana jumla ..Kuna Amazon pia ya wamarekani,ebay ....
Nirejee kwenye Mada AliExpress Unapakua TU app yao ,halafu unajisajili (Jina,Barua pepe na taarifa nyingine muhimu).Ukishamaliza utatafuta bidhaa unayoipenda zingatia sana sana koment na review nzuri za muuzaji pia katika bidhaa unayoichagua ,Unapomaliza utalipia na utaambiwa ujaze taarifa za kusafirishia(Shipping details) kama ulishajaza mwanzo haina shida kama bado utajaza vizuri ukisubiri mzigo wako.
Ukiwa na changamoto yoyote usisite kuuliza ni hayo tu
Pitia wauzaji mbalimbali,bei huwaga inapanda pia kulingana na watu tunavoisifia bidhaa Mfano kuna bidhaa nlinunua elfu 3 mwaka jana mwaka huu inauzwa elfu 8 .Asante sana bro,, nimeingia huko na bidhaa nimeikuta. Chaajabu mbona bei ipo juu sana? Simu ni redmi note 13 huko nimeona bei yake inaanzia 420k na mbeya niliulizia bei yake ni 500k
Shida vitu vinaibwa na hasa unapoagiza kidogokidogo,sijui forging inafanyika wapiNaona km AliExpress ni bora
Mmmmm basi mimi nina bahati, hata juzi tu nimepokea parcel. Nimekua naagiza mara kwa maraShida vitu vinaibwa na hasa unapoagiza kidogokidogo,sijui forging inafanyika wapi
Daaaah safi sana kaka, nakushukuru sana mkuuPitia wauzaji mbalimbali,bei huwaga inapanda pia kulingana na watu tunavoisifia bidhaa Mfano kuna bidhaa nlinunua elfu 3 mwaka jana mwaka huu inauzwa elfu 8 .
Pia unaweza bahatisha msimu WA promotion bei zinashukaga ile Hadi Raha

Mwaka mpya wa kichina ni mwezi wa pili kama sikosei,Huwa Kuna majambozi hapo,Kuna t shirt za ndani kama vest hivi niliwahi agiza tatu,mpaka sasa Zina Miaka mitano,ukivaa labda wakati wa joto otherwise ni kama mwili wako,very soft and high quality,cha ajabu bongo nzima sijaziona open market,na wao pia wameziondoa sokoni ni very high quality na hazina ujinga wa ajabuajabau.Pitia wauzaji mbalimbali,bei huwaga inapanda pia kulingana na watu tunavoisifia bidhaa Mfano kuna bidhaa nlinunua elfu 3 mwaka jana mwaka huu inauzwa elfu 8 .

Alibaba wanauza retail na wholesale pia. Ila ubora wa bidhaa huendana na bei. Ukinunua bidhaa bei ndogo sana utashangaa unapoipokea. Wasafirishaji wapo wengi kuja Tz Silent Ocean nk.Wakuu habari,
Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe.
Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe.
Natanguliza shukrani za dhati
Alibaba Bei ya usafirishaji Iko juu sana kwa mizigo michache,Ndio maana sana sana ni kwa ajili ya jumla sio rejarejaAlibaba wanauza retail na wholesale pia. Ila ubora wa bidhaa huendana na bei. Ukinunua bidhaa bei ndogo sana utashangaa unapoipokea. Wasafirishaji wapo wengi kuja Tz Silent Ocean nk.