Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Usipopata mzigo wako fungua kesi TU na waeleze sababu za msingi hela yako inarudiShida vitu vinaibwa na hasa unapoagiza kidogokidogo,sijui forging inafanyika wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipopata mzigo wako fungua kesi TU na waeleze sababu za msingi hela yako inarudiShida vitu vinaibwa na hasa unapoagiza kidogokidogo,sijui forging inafanyika wapi
Alibaba hawasafirishi. Ukishanunua wanakuuliza kama unaye msafirishaji. Alibaba ni ama wauzaji au wazalishaji tu. Ni duka la jumla na rejareja online. Ughali wa usafirishaji hutegema msafirishaji kuleta Tz.Alibaba Bei ya usafirishaji Iko juu sana kwa mizigo michache,Ndio maana sana sana ni kwa ajili ya jumla sio rejareja
chat.whatsapp.com
Kuwa makini sana sanaWakuu habari,
Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe.
Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe.
Natanguliza shukrani za dhati
Vipi kuhusu Kodi mzigo ukifika nchini?Kama ni moja Kwa china nunulia kwa AliExpress ambao ndio ya rejareja ,Alibaba wanauza sana sana jumla ..Kuna Amazon pia ya wamarekani,ebay ....
Nirejee kwenye Mada AliExpress Unapakua TU app yao ,halafu unajisajili (Jina,Barua pepe na taarifa nyingine muhimu).Ukishamaliza utatafuta bidhaa unayoipenda zingatia sana sana koment na review nzuri za muuzaji pia katika bidhaa unayoichagua ,Unapomaliza utalipia na utaambiwa ujaze taarifa za kusafirishia(Shipping details) kama ulishajaza mwanzo haina shida kama bado utajaza vizuri ukisubiri mzigo wako.
Ukiwa na changamoto yoyote usisite kuuliza ni hayo tu
Agent anakupigia Hadi gharama za Kodi za mzigo wako. Wewe ukifika Tanzania ni kwenda kuchukua.Vipi kuhusu Kodi mzigo ukifika nchini?
Kodi washailipia huko huko,kazi kwako TU kupokea mzigoVipi kuhusu Kodi mzigo ukifika nchini?
Shukrani mkuuAgent anakupigia Hadi gharama za Kodi za mzigo wako. Wewe ukifika Tanzania ni kwenda kuchukua.
Shukrani mkuuKodi washailipia huko huko,kazi kwako TU kupokea mzigo