Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni kutokea China. Nomba mwenye uelewa wa manunuzi mtandaoni anijuze

Alibaba Bei ya usafirishaji Iko juu sana kwa mizigo michache,Ndio maana sana sana ni kwa ajili ya jumla sio rejareja
Alibaba hawasafirishi. Ukishanunua wanakuuliza kama unaye msafirishaji. Alibaba ni ama wauzaji au wazalishaji tu. Ni duka la jumla na rejareja online. Ughali wa usafirishaji hutegema msafirishaji kuleta Tz.
 
Kuwa makini sana sana
 
Vipi kuhusu Kodi mzigo ukifika nchini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…