Nataka nianze ujasiriamli nikiwa chuo

Fanya kama mm utafanikiwa.

1. Acha kusoma chuo.
2. Tumia hizo hela laki 2.
3. Fanya starehe ya kila aina na kadri uwezavyo.
4. Hela zikiisha utapata akili mpya ya kutafuta pesa nyingine.
5. Ukishapata hzo hela save na fungua biashara uitakayo.
6. Kadri unavyotumia pesa ndiyo kadri unavyopata akili ya kupata pesa nyingi zaidi.....

[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
 
Nzuri sana hii
 
kuongezea tu, ukishakua bize na shuuli zako hua kuna kusahau kipi hasa kimekuleta pale, uta disco, au kupata masup mengi, jarib ku balance mda wako vizuri katika shule/biashara
ni hayo tu


Asante mkuu balance on point
 
Nahusika na kutengeneza na kuuza viatu vya ngozi, Jumla na rejareja...

Ukipenda na kuridhia unaweza kuwa Agent hapo Chuo nikawa nakutumia viatu unaviuza, hasa unatarget boom likishatoka..

Ntakuwa nakupa kwa Bei ya Jumla, Staff za kawaida ntakuuzia kwa 22,000. Ambapi Travolta na Safari Boot ntakuuzia kwa 25,000/= kuanzia 10 Pieces..

Unaweza kuchukuwa samples hata 5 utakafanya market testing..
Hizo tano ntakuuzia kwa bei ya rejareja @ 25,000/- Kwa staff za kawaida. 28,000/= Kwa Travolta na Safari Boot.
Nakuwekea samples uzione, ukipenda tuwasiliane kwa 0624 060 662..
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 11.04.10.jpeg
    79.5 KB · Views: 52
  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 07.32.30.jpeg
    13.8 KB · Views: 53
  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 10.17.56 (1).jpeg
    58 KB · Views: 53
  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 10.17.56.jpeg
    66.1 KB · Views: 54
  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 07.32.03.jpeg
    20.7 KB · Views: 54
  • WhatsApp Image 2017-10-29 at 11.04.17.jpeg
    82.4 KB · Views: 46
  • WhatsApp Image 2017-10-10 at 21.55.14 (1).jpeg
    97.9 KB · Views: 50
Mkuu FAJES nmeshachukua namba ako na nimejaribu kukupigia hujapokea me nipo tayar tutafanya biashar lakin kuanzia mwez wa tatu kwa maana saiv pesa nmeiwekeza kwenye miradi mingine kwaiyo kufkia huo mda nitakua tayar nishapata pesa tena
 
Mkuu FAJES nmeshachukua namba ako na nimejaribu kukupigia hujapokea me nipo tayar tutafanya biashar lakin kuanzia mwez wa tatu kwa maana saiv pesa nmeiwekeza kwenye miradi mingine kwaiyo kufkia huo mda nitakua tayar nishapata pesa tena
Sawa Mkuu. Karibu sana..
 
Nimependa bidhaa zako nimechukua namba namba tutawasiliana.
Kama ikiwezekana tuanzishie Uzi ma utuonyeshe sampo zote tunaweza kufanya biashara
 
Nimependa bidhaa zako nimechukua namba namba tutawasiliana.
Kama ikiwezekana tuanzishie Uzi ma utuonyeshe sampo zote tunaweza kufanya biashara
Mkuu karibu sana, tayari uzi upo Jukwaa la Matangazo madogo madogo. Unaitwa " Tunauza bidhaa za ngozi original kwa bei nafuu"..
 
Mkuu karibu sana, tayari uzi upo Jukwaa la Matangazo madogo madogo. Unaitwa " Jipatie bidhaa za ngozi original kwa bei nafuu"..
Asante ntapitia kaka, thank you for your response.
 
Soma kwanza , ukianza ujasilia Mali na kusoma kiukweli na siyo uwoga ila ujue Mda hautoshi kabisa
 
Mkuu, piga picha classic za bidhaa zako. Unapiga picha then background yake iwe nyeupe kabisa. Kuna soko nimelitarget naweza kupata kazi tufanye biashara pia hata kwako itakusaidia kutangaza kwakuwa tangazo litakuwa na mvuto, lifanyie kazi haraka kisha unicheki inbox
 
Kanunue Saa Qnet upate laki nne
 
Yaap kilimo ndio target yangu kuu na ndomana nataka nikusanye mtaji niingie kwenye iyo field ya kilimo
Unapoingia kwenye hiyo fursa hakikisha una mtu unayemwamini ili aweze kusimamia shughuli zako unaweza ukampa 25% ya mapato ya mavuno .....ikifanya hivo utafika pazuri
 

nice idea
 
Unapoingia kwenye hiyo fursa hakikisha una mtu unayemwamini ili aweze kusimamia shughuli zako unaweza ukampa 25% ya mapato ya mavuno .....ikifanya hivo utafika pazuri

Bahati nzuri kwenye kilimo anayeaminika ni Mungu pekee. Hapa binaadamu hafai maana kilimo cha style yake hakima muamana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tumpe tahadharu tu mkuu kuwa kilimo cha remote kinataka moyo wa ujasiri na akili ya hali juu isiyo yumbishwa na stress. Kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…