Habar wana jf natumain mu wazma ,nlikuwa naulza hiv inawezakana kwa mtu aliyeomba mkopo mwaka jana ambaye alikosa au kupata kidogo aka apeal tena ili aweze kupata kwa ajil ya ada akapataa ?? Nsaidien wakuu maana hali ni mbaya mno
Sio appeal 2 unaweza kupata zaidi b'coz hukuomba upunguziwe uliomba uongezewe but inabidi uwe fast raia wamekosa sana mda c mda board itapata wahitaj wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.