Hatufanyi NMBHabari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
ata personal acc nayo haina makato yoyote yale ..ni kama chapchap tu......tokea tar 01/02 /2019Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
ata personal acc nayo haina makato yoyote yale ..ni kama chapchap tu......tokea tar 01/02 /2019