Nataka nibadili account kutoka personal account kuwa NMB chap chap account..!

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
1,960
Reaction score
2,345
Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
 
Hatufanyi NMB
 
Inawezekana, account yako ina sh mgapi kwan? Em nipe details zake na namba ya siri nikubadilishie. Niko makao makuu hapa. 😝

Nenda bank ww ukapate taarifa sahihi.
 
Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
ata personal acc nayo haina makato yoyote yale ..ni kama chapchap tu......tokea tar 01/02 /2019
 
Sasa kama haina makato wao wanapata faida gani kuimantain hiyo account?
 
ACCOUNT YENYE MILIONI TANO NAKUENDELEA ACHA TU WANAKATA KAMA KAWAIDA NA PERSONAL NI KAWAIDA
 
Back
Top Bottom