Nataka nibadilishe injini gari yangu toyota rav4j, niweke injini ipi itakayokaa vizuri

kindoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2018
Posts
213
Reaction score
218
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya FUSO inaweza kukufaa zaidi ndugu maana ina nguvu ya kuhimili milima huko maeneo ya kwenu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana , wasiwasi wangu ni mafundi wetu hasa kwenye quality ya kazi, uwelewa , ni mahodari sana JARIBU JARIBU kwa gharama ya mteja kwa kusingizia UONGO mwingi, mwisho hakuna tija unaambulia maneno labda labda n.k

Kama uko vizuri ki fedha jaribu 5A engine ya carina,collora 1490cc mm naami itaweza labda namna ya ukaaji
Mwisho kabisa nakushauri tu UIUZE Rav4 bado ina kasoko ndio kanaisha , then uongeze pesa hizo za kununua engine na KUNUNUA gari nyingine

Nitashukuru kama utanipa nafasi ya kushiriki kimawazo sbb na mm nina lengo kama hilo lakini kibiashara.
 
Hakuna injini nzuri kwa hiyo gari zaidi ya hiyo... kama unaona huwezi matumiI then nunua passo uza hiyo....

Hiyo body inaendana na hiyo engine sana, sasa ukitaka economical get another car...usiponiamini utalia...
 
Wazo zuri sana , wasiwasi wangu ni mafundi wetu hasa kwenye quality ya kazi, uwelewa , ni mahodari sana JARIBU JARIBU kwa gharama ya mteja kwa kusingizia UONGO mwingi, mwisho hakuna tija unaambulia maneno labda labda n.k

Kama uko vizuri ki fedha jaribu 5A engine ya carina,collora 1490cc mm naami itaweza labda namna ya ukaaji
Mwisho kabisa nakushauri tu UIUZE Rav4 bado ina kasoko ndio kanaisha , then uongeze pesa hizo za kununua engine na KUNUNUA gari nyingine

Nitashukuru kama utanipa nafasi ya kushiriki kimawazo sbb na mm nina lengo kama hilo lakini kibiashara.
Nimekuelewa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanyia service hio injini itakuwa inahitaji marekebisha maana kwa injini ya RAV 4 lita moja ni 7 to 10 km
Kubadili injini inategemea na fundi nenda ILALA kama uko DAR hutakosa wataalam wa kubadili injini ila isiwe ndogo sana huta enjoy gari yako
 
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikushauri kabisa... Utaongeza tatizo badala ya kutatua.. Hatuna mafundi mahiri kwenye ishu za kubadili engine... Between unaweza kufanya hivyo kumbe tatizo ni lingine kabisa labda gearbox, fuel pump au plugs.... Zaidi Rav 4 kiasili zinakunywa wese sasa ukiongeza na uchakavu ndio kabisa

Jr[emoji769]
 
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kindoki...yanga wameshawalipa posho ukaona ununue rav 4 mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom