Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Weka engine ya Carina au Corolla 5A ina cc 1490.
Kama upo Dar nenda Ilala au kama unaweza agiza Tunduma zipo nyingi sana na gear box zinatoka Zambia na maeneo ya pale mpakani kwa bei nafuu sana.
Kitalaamu ukiweka engine ndogo na uzito wa gari ukawa mkubwa, ufanisi utakuwa mdogo. Kama ni ya kutembelea mjini utadumu nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app