Ya FUSO inaweza kukufaa zaidi ndugu maana ina nguvu ya kuhimili milima huko maeneo ya kwenu.....Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya FUSO inaweza kukufaa zaidi ndugu maana ina nguvu ya kuhimili milima huko maeneo ya kwenu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu 2014, asaiv nikiweka Lita kumi zinaisha ktk mizunguko mifupi sana isiyozid km 50inakula kiasi gani?
umetumia muda gani?
Tatizo la mafuta kwa ulaji huo inaweza kuwa matengenezoTangu 2014, asaiv nikiweka Lita kumi zinaisha ktk mizunguko mifupi sana isiyozid km 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri sana , wasiwasi wangu ni mafundi wetu hasa kwenye quality ya kazi, uwelewa , ni mahodari sana JARIBU JARIBU kwa gharama ya mteja kwa kusingizia UONGO mwingi, mwisho hakuna tija unaambulia maneno labda labda n.kWadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuu!Wazo zuri sana , wasiwasi wangu ni mafundi wetu hasa kwenye quality ya kazi, uwelewa , ni mahodari sana JARIBU JARIBU kwa gharama ya mteja kwa kusingizia UONGO mwingi, mwisho hakuna tija unaambulia maneno labda labda n.k
Kama uko vizuri ki fedha jaribu 5A engine ya carina,collora 1490cc mm naami itaweza labda namna ya ukaaji
Mwisho kabisa nakushauri tu UIUZE Rav4 bado ina kasoko ndio kanaisha , then uongeze pesa hizo za kununua engine na KUNUNUA gari nyingine
Nitashukuru kama utanipa nafasi ya kushiriki kimawazo sbb na mm nina lengo kama hilo lakini kibiashara.
Inaweza ikawa ni tatizo dogo kabisa la plugs tuuTangu 2014, asaiv nikiweka Lita kumi zinaisha ktk mizunguko mifupi sana isiyozid km 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyia service hio injini itakuwa inahitaji marekebisha maana kwa injini ya RAV 4 lita moja ni 7 to 10 kmTangu 2014, asaiv nikiweka Lita kumi zinaisha ktk mizunguko mifupi sana isiyozid km 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubadili injini inategemea na fundi nenda ILALA kama uko DAR hutakosa wataalam wa kubadili injini ila isiwe ndogo sana huta enjoy gari yakoFanyia service hio injini itakuwa inahitaji marekebisha maana kwa injini ya RAV 4 lita moja ni 7 to 10 km
Sikushauri kabisa... Utaongeza tatizo badala ya kutatua.. Hatuna mafundi mahiri kwenye ishu za kubadili engine... Between unaweza kufanya hivyo kumbe tatizo ni lingine kabisa labda gearbox, fuel pump au plugs.... Zaidi Rav 4 kiasili zinakunywa wese sasa ukiongeza na uchakavu ndio kabisaWadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kindoki...yanga wameshawalipa posho ukaona ununue rav 4 mbovuWadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaaaa ba gali bangu banunua bukavu nyumbani sitegemei yanga,kwanza tunakula vitumbua kila cku na karanga