Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
mwakalapuka yule mwenye masihara mengi na anaendesha rangerover?Upo wapi? Kama upo morogoro kuna lecture pale sua anaitwa Mwakalapuka mcheki ni fundi Mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mwamba!Ndugu utashauriwa mengi lakini ushauri genuine ni huu...
Fanya ukaguzi wa kutosha kwanza kwenye maeneo haya
1.Spark plugs
2.Fuel injectors
3.Fuel pump na fuel filter.
4.Air cleaner, Air MAF sensor pamoja na throat body
5. Aina za lubricants unazotumia kwenye engine na gear box.
Hayo mambo matano niluyokutajia hapo juu kama hayana tatizo, i mean yapo sawa, na mimi nakusisitiza uza hiyo gari ikiwa hivyo hivyo ununue angalau vitz, ist, and the likes, then come later and thank us.
Ila kama pochi ina mbavu nene, uza kwa bei ya hasara, kisha agiza RaV 4 nyingine endapo you are still fall in love with RAV 4.
Lakini kama unahitaji stress mpya katika maisha ya gari, badili engine kutoka 1998 cc mpka 1490cc
kwa ukubwa na uzito wa lile body la RAV 4 bila kusahau mafundi wetu hawajabobea katika kubadili aina moja ya engine kwenda aina nyingine.
Kumbuka ukibadili injini hiyo uliyotaja, pia ECU itahitaji kubadilishwa ili iendane na engine iliyofungwa.
THIS IS A FREE ADVISE...YOU MAY TAKE IT...OR LEAVE IT
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua gharama za kubadilisha injini halafu igawanye kwa muda wa maisha uliosalia wa hilo gari ndio uone kama ni wazo zuri au la.Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc zisizozid 1500 ambayo itakaa vzr, naomba mawazo yenu please!!
Sent using Jamii Forums mobile app
well said.Ndugu utashauriwa mengi lakini ushauri genuine ni huu...
Fanya ukaguzi wa kutosha kwanza kwenye maeneo haya
1.Spark plugs
2.Fuel injectors
3.Fuel pump na fuel filter.
4.Air cleaner, Air MAF sensor pamoja na throat body
5. Aina za lubricants unazotumia kwenye engine na gear box.
Hayo mambo matano niluyokutajia hapo juu kama hayana tatizo, i mean yapo sawa, na mimi nakusisitiza uza hiyo gari ikiwa hivyo hivyo ununue angalau vitz, ist, and the likes, then come later and thank us.
Ila kama pochi ina mbavu nene, uza kwa bei ya hasara, kisha agiza RaV 4 nyingine endapo you are still fall in love with RAV 4.
Lakini kama unahitaji stress mpya katika maisha ya gari, badili engine kutoka 1998 cc mpka 1490cc
kwa ukubwa na uzito wa lile body la RAV 4 bila kusahau mafundi wetu hawajabobea katika kubadili aina moja ya engine kwenda aina nyingine.
Kumbuka ukibadili injini hiyo uliyotaja, pia ECU itahitaji kubadilishwa ili iendane na engine iliyofungwa.
THIS IS A FREE ADVISE...YOU MAY TAKE IT...OR LEAVE IT
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mjukuu wangu aliuziwa min cooper ikiwa na engine ya IST hapo kwenu mjiniSikushauri kabisa... Utaongeza tatizo badala ya kutatua.. Hatuna mafundi mahiri kwenye ishu za kubadili engine... Between unaweza kufanya hivyo kumbe tatizo ni lingine kabisa labda gearbox, fuel pump au plugs.... Zaidi Rav 4 kiasili zinakunywa wese sasa ukiongeza na uchakavu ndio kabisa
Jr[emoji769]
Ilikuwa haisumbbuiKuna mjukuu wangu aliuziwa min cooper ikiwa na engine ya IST hapo kwenu mjini
Sijawasiliana naye muda mrefuIlikuwa haisumbbui