Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri