Haitakulipa ndg.Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Joseph kusaga amesema itashuka hadi kufikia 1 usd = 100 Tsh.Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Kufungua account ya dola kwa pesa yako haitamwangusha.Mchezo unaoenda kuucheza unaitwa FOREX
kufaidika kwa kutabiri thamani ya pesa kushuka au kupanda
Ukiingia kichwa kichwa utapiga ukunga
Sheria inazuia kununua fedha za kigeni kwa nia ya kuvuna faida (yaani, biashara ya kubadilisha fedha bila kibali).Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Huo mkopo huwezi kupata kwa interest rate ya kurudisha faida labda upewe na ndugu yako, na hata ukipata hiyo hela bado kuna Limit ya Dola unazoweza kununua kutoka kwenye Bureau da change na Mabank, labda uresort kwenye Black market ambao still watakuuzia bei ya juu, piga hesabu kama bado unaona ni faida vuta mkopo wako !Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Huo mkopo huwezi kupata kwa interest rate ya kurudisha faida labda upewe na ndugu yako, na hata ukipata hiyo hela bado kuna Limit ya Dola unazoweza kununua kutoka kwenye Bureau da change na Mabank, labda uresort kwenye Black market ambao still watakuuzia bei ya juu, piga hesabu kama bado unaona ni faida vuta mkopo
Umechelewa broh,Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Umechelewa bro, huku blackmarket tuliomba mkopo wa Dola 20,000$ Kwa thamani 2690, sawa na 53,800,000 tukauza Kwa 2670 tukapata hasara ya 400,000, tukatumia 53,400,000 kununua Dola mtaani Kwa 2600,tukapata 20,538$ tukauza 2690 tukapata 55,248,000 , tukatumia pesa hizo Tena kununua Dola mtaani Kwa 2590 kiasi 21,330$ tuenda uza chap 57,160,000, mzukongo unaendelea tunaangukia Dola za 2500, tukapa 22,850 tukaenda uza fasta maana mzigo unaporomoka tuliuza Kwa 2590 ,tukapata 59,181,000 , ikiwa Ina shuka tukaangalia soko jipya tukanunua 23760, tukaenda uza Kenya Kwa 129ksh tukapewa 3,066,200,ksh tukapitia HOLILI tukauza pesa ya Kenya Kwa 20.4 tukapata 62,550,000 chap tununua mzigo Tena Kwa 2450 ,kiasi Cha 25300 tukakimbilia Mombasa kuuza tukarudi na 3,276,300 tuuza pesa ya Kenya Kwa 20.5 tukapata 67,165,000. Ndani ya week 3 pekee. Kwa Sasa Dola ni 2300 ,tuna dolar 28460, faida dolar 8460, ikifika mwezi wa kwanza Dola ikiendelea kushuka hatutarejesha deni lote ,ila ikipanda tutarejesha deni lote kabisa ,Ili tusije lipa riba nje wa mkopo. Kufika huko tutakua n mtaji wa 30000$ kupitia mkopo wa bank 20,000$ , blackmarket wanapiga helaWakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Ukiwa na akili na hesabu, kutafuta mfanyabishara anaeagiza bidhaa nje, mtafutie dolar kula shiling 10,20,50 Kwa Kila Dola,utakuja nishukuru. Kumbuka serikal Iko zingatia usiri. Use proper risk ManagementUmechelewa broh,
Umechelewa bro, huku blackmarket tuliomba mkopo wa Dola 20,000$ Kwa thamani 2690, sawa na 53,800,000 tukauza Kwa 2670 tukapata hasara ya 400,000, tukatumia 53,400,000 kununua Dola mtaani Kwa 2600,tukapata 20,538$ tukauza 2690 tukapata 55,248,000 , tukatumia pesa hizo Tena kununua Dola mtaani Kwa 2590 kiasi 21,330$ tuenda uza chap 57,160,000, mzukongo unaendelea tunaangukia Dola za 2500, tukapa 22,850 tukaenda uza fasta maana mzigo unaporomoka tuliuza Kwa 2590 ,tukapata 59,181,000 , ikiwa Ina shuka tukaangalia soko jipya tukanunua 23760, tukaenda uza Kenya Kwa 129ksh tukapewa 3,066,200,ksh tukapitia HOLILI tukauza pesa ya Kenya Kwa 20.4 tukapata 62,550,000 chap tununua mzigo Tena Kwa 2450 ,kiasi Cha 25300 tukakimbilia Mombasa kuuza tukarudi na 3,276,300 tuuza pesa ya Kenya Kwa 20.5 tukapata 67,165,000. Ndani ya week 3 pekee. Kwa Sasa Dola ni 2300 ,tuna dolar 28460, faida dolar 8460, ikifika mwezi wa kwanza Dola ikiendelea kushuka hatutarejesha deni lote ,ila ikipanda tutarejesha deni lote kabisa ,Ili tusije lipa riba nje wa mkopo. Kufika huko tutakua n mtaji wa 30000$ kupitia mkopo wa bank 20,000$ , blackmarket wanapiga hela
feb itashuka tena, kupanda labda mwezi wa sitaWakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Ukitaka kununua dola utaambiwa haipoWakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1 yaweza kuwa Tsh. 2800 huko.
Nataka nitumie fursa hii ninunue angalau USD 2000 ili nije niziuze baada ya Dola kuimarika.
Nakaribisha ushauri
Imejaa ya kumwaga, shilingi yako tuUkitaka kununua dola utaambiwa haipo