Nataka niende kufungua biashara ya baa mkoani

Nataka niende kufungua biashara ya baa mkoani

Ssang'w

Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5
Reaction score
0
wakuu samahani, najua mtaona labda mm ni mgeni humu lakini hapana. binafsi nasomaga tu hoja za wanaJF humu kwa muda mrefu.
ila leo nimekuja na hii ishu naomba ushauri wenu wa fasta; nataka niende kufungua biashara ya baa/sehemu ya kuuza vinywani/pombe/soda/nk.
asanteni.
 
kwa hiyo unahitaji ushauri gani hasa mkuu? kuwa specific.
 
Unapouza Pombe unajua we Imani yako ni IPI.
Maana Ukristo na Uislam hauruhus Pombe.
Uliza walikuwa wakimili hizi Bar baada ya Umauti wao ni kipi kinafuata huko walipo.
Jpili nenda kanisani muulize mchungaji hili suali uone jibu lake.
 
kwa hiyo unahitaji ushauri gani hasa mkuu? kuwa specific.

wakuu ushauri ninaotaka ni kuhusu kama hii biashara itanipa faida ya hela, mikoani tena katika mji fulani mdogo, au nitaambulia hasara maana sijawahi kufanya.
 
MKoa gani maana miashara zinatofautiana mkoa hadi mkoa ila kwa biashara hiyo moshi utafanikiwa
 
kuwa na subira,nadhani michango mizuri itatoka kwa wale ambao washawahi kumiliki biashara hizo au wanazo mpaka sasa.
 
Back
Top Bottom