Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza jinsia yake kwanza ndio umpe nasaha za mapemaAcha kujitafutia ulemavu usiyo na sababu,sumu haionjwi kwa ulimi,unachokitafuta utakipata
Maana kwa jinsi alivyo toa maelezo siamini upande aliojikita,nadhani kaegemea tu kama kama kitanda cha mwenye njaaUliza jinsia yake kwanza ndio umpe nasaha za mapema
Basi tuma maan yake kweny private messageSisi kina mama tunaelewaga watoto hata pale wanaposhindwa kutamka maneno😂😂😂 huyu alivyoandika kama mwanangu wa miaka3 kabisaaa. Sijui yeye ana umri gani
Maana ya niniBasi tuma maan yake kweny private message
Mweleze yote yaliyojiri, itapendeza zaidi!Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.
Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.
Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.
Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.
Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
Ya hiyo ulioelewa ww kuhus maneno ya huy jamaaMaana ya nini
Alifanya mapenzi dukani kwake na mke wa jirani yake.Ya hiyo ulioelewa ww kuhus maneno ya huy jamaa
Pore sana.mimi nimejijili na sijajilia na mtu.nina maduka kaliakoo moja na mwege moja.we unazani kira mtu ni kama wewe.eshima bele dad agu.eshima bele usimtuzi usiyemujua.Alifanya mapenzi dukani kwake na mke wa jirani yake.
Akamhonga nguo moja (inaonekana dogo anauza vijora au nguo za wadada) yule mwanamke akachukua viwili akamwambia anaenda kujaribisha kitakachompendeza ndio atabaki nacho na kingine atakirudisha.
Sasa tangu aondoke hajarudisha nguo moja wala mwili. Jamaa ndio anataka kwenda kumshtaki kwa mumewe.
Hawa ndio vijana tunaowakabidhi mitaji yetu na kuwalipa mishahara
Umeridhika🤔
Nitumie no yako ya M pesa nikutumie hiyo hela.. Pia nitajie ni kiasi gani.. Nafanya hivi ili kulinda ndoa ya watu.. Wazungu wanatuambiaga, 'enjoy responsibily!Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.
Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.
Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.
Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.
Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
Sawa Guru Guja, naomba nisamehe kwa kukukwaza 🤝🙏Pore sana.mimi nimejijili na sijajilia na mtu.nina maduka kaliakoo moja na mwege moja.we unazani kira mtu ni kama wewe.eshima bele dad agu.eshima bele usimtuzi usiyemujua.
Inabidi ukue mkuuHuyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.
Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.
Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.
Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.
Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
usisahau kujibebea mafutaHuyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.