Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hii kali sana aiseeKabla hujaji'RIPUA' vipi ule mradi wa hiliki?
Tuko mbioni kukusanya mzigo, usije 'JIRIPUA' ukatuacha kwenye mataa.
unakimbiA DSM? moro ni mkoa wa kiboya sana nilishahangaika hapo bado sikutoboa tu
Look timelines...Kama akili yako imeshindwa kuona fursa hapa dsm hata huko unapotaka kwenda ambapo hujui ni wapi mpaka sasa utafeli tuu, kata mshipa wa aibu, chakarika dsm utatoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilitoka Mwanza kuja Dar 2013 nikiwa na Tsh 150 Mfukoni.
Nauli yangu mwisho ulikuwa Moro. Tukafika Usiku, Nikalala Station.