Nataka niende mikoa, Dar es Salaam kugumu



Very touching stry jaman! So bado unasoma kwahyo!dah Mungu huyu ana makusudi yake...

HUO NDO UANAUME JAMANI
 
Wangari Maathai Kweli Jamaa akatuma kama Tsh 25,000.

Ilipofika Jumatatu Nikapanda Gari Kutoka Moro Kuja Dar ( Bag Nikaacha Moro ).

Tulisafiri, Nikashukia Mbezi - Nikanunua Azam Ukwaju na Andazi, Nikala. Nikasikilizia umefika usiku. Nikacheck Jengo Bovu Halina Watu Nikalala Humo Mpaka Asubuhi.

Asubuhi, Nikaenda Kwa Waosha Magari Nikanawa Vumbi Tayari Kwa Safari Ya Kwenda Chuoni.

Nilivyofika Chuoni, Kwanza Kabla Sijafanya Application Tena. Nikawauliza. Mimi Nilipangwa Hapa Ila Nikachelewa Kuja, Naomba Kujua Kama Bado Naweza Kupokelewa Amma Lah.

Wakaniambia Una Hakika, Nikasema Yes. Wakacheck Kwenye Database Wakakuta Kweli.

Basi Wakanipa Registration Form Nifanye.

ADA BADO SINA ! Imagine

Aisee,

Yaani Ni Stori Ndefu, Ila Mwishowe Chuo Nilisoma Na Mpaka Leo Bado Niko Dar Es Salaam.
 
October man

Mkuu upo sahihi, Me nafkiri shyness na yenyew inachangia vijana wengi hapa dsm kushindwa kuanza na biashara yenye mtaj mdogo na hii ni kutokana na vi digiriii vyetu visivyokuwa na msing, kwa mkoani unaweza pambana ukatok coz hakuna mtu anakujua hko ata kama wapo bc ni wachaaache san


Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yaan unawwza hisi ww umepitia kwenye njia ya miba kumbe kuna watu wamepitia magumu mno! Duh...usikate tamaa..! Songa mbele
 
October man

Sasa unatoka dar sawa kwa nini usiende kwenye miji iliyochanganya kiuchumi kiongozi... Unataka uende same...,tanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…