Nataka niendeshe bodaboba msinigonge huko barabarani

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Kuna kibiashara changu nimefungua alhamdulilah.Ila ili kifanikiwe kinaitaji Bodaboda au kirikuu.hela ya kirikuu bado sijapata.so for the time being naona nianze na Bodaboda na nitaendesha mwenyewe.naombeni huko barabarani msinigonge wakuu.
Napambana na hali yangu magufuli kasema hapa kazi tu
Ila sijui bikra yangu kama itapona tena
 

Bikira ipi imebaki...
 
Njoo nikufundishe "kontroli" takufanyia bure kbs
 
Haaahahahahahhaaa looh

Nikutakie heri zote, ila hakikisha pikipiki yako unaiboresha kwa kuweka kitenga kwa mbele kwa ajili ya kiwekea vitu vyako vidogo dogo kama pochi au begi badala ya kuwa na begi la mgongoni kama wanaume wanavyofanya.

Nakushauri uwe na helmet gumu ambalo lina kioo mbele ili kuzuia upepo mkali na mvua ikinyesha.

Pia uwe utafute yale magome kama wanayovaaga wacheza rugby miguuni kwa ajili ya kulinda michubuko miguuni iwapo utaserereka barabarani.

Pia uwe na miwani ya jua (sunglasses) kwa ajili ya kudhibiti mwanga mkali wa jua iwapo utaendesha kipindi cha jua kali.

Jitahidi sana usipakie abiria yeyote yule sio wa kike wala wa kiume hata mtu akuombe lifti vipi. Hii ni kwa ajili ya usalama wako.

Kila la kheri kwenye kujituma kwako.

Kasie Mahaba Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…