Vipi bikra yako ipo hatarini?
Hhahahahahahahahahahaaa looh!!
Sio kwa uchokozi huo... nimerudisha kumbukumbu nyuma kama nilishawahi kuongelea kuhusu bikira yangu humu....
Iko hivi, kama wanasemaga mwanamke ana bikira moja ya kunako katereroo basi ilishatokaga miaka mingi tuu nikiwa nasoma chuo huko.
Ila kama wanasemaga mwanamke ana bikira mbili na ingine ikiwa ni kunako kinyeleo, basi mie bado ninayo hiyo, maana sitaki kuikosa raha ya kukata gogo bana. Raha ya kukata gogo ni yawe yanatoka kwa interval yaani linashukaaa halafu sphincter muscles zinakata gogo linaachia chini halafu linaanza kushuka jingine....
Zoezi hilo likiwa linaendelea mie huku naimba kibwagizo cha ule wimbo mtamu....
''Moyo wangu mi nakupa, usasambue... usasambue....
Fanya unavotaka, usasambue.... usasambue...
Nivuruge kama.......... usasambue... usasambue...''
Hhahahahahahaaa nimejibu swali kirefuuu... nashindwaga kufupisha aiseeh.
Kasie Matata