Aksante kwa tangazo la bikra, wahusika wamelipataKuna kibiashara changu nimefungua alhamdulilah.Ila ili kifanikiwe kinaitaji Bodaboda au kirikuu.hela ya kirikuu bado sijapata.so for the time being naona nianze na Bodaboda na nitaendesha mwenyewe.naombeni huko barabarani msinigonge wakuu.
Napambana na hali yangu magufuli kasema hapa kazi tu
Ila sijui bikra yangu kama itapona tena
Hahaaa. Lol.Ubarikiwe
Rafiki vipi tena?Hahaaa. Lol.
Ila sijui bikra yangu kama itapona tena
Tabora wadada wanaendesha baiskeli hataree...Hahahaaa. Lol.
Endesha tu mwaya kwani nishaona wanawake mikoani hukio wanaziendesha tu na wala hawagongwi na mtu.
Jiachie shoo. Hahahaaa.
Hapana kitu nimeipenda tu dua yako rafiki.Rafiki vipi tena?
Hata kwetu Tanga na vile vi Vespa watu wanaendesha sana.Tabora wadada wanaendesha baiskeli hataree...
Hahah!! Aya tuseme Amina!Hapana kitu nimeipenda tu dua yako rafiki.
Hahahaaa. Teh tehHahah!! Aya tuseme Amina!
Hahah!Hahahaaa. Teh teh
Nasikia ukiwa na Vespa tu hukosi mke Tanga?Hata kwetu Tanga na vile vi Vespa watu wanaendesha sana.
Ajimwaye mwaye tu kwa kweli. Hahahaaa.