Nataka niendeshe bodaboba msinigonge huko barabarani

Asante sana kwa bonge la ushauri best nitazingatia yote love u
 
Nasikia ukiwa na Vespa tu hukosi mke Tanga?
Hahahaaa. Jamaani Kaka. Ndio nasikia kwako hilooo ujue.

Mie najua kikubwa kuridhiana bhaas hivyo hata ukija na baskeli ya kukodisha ujue jiko utapata kwa yule uliyemridhia naye akawa amekuridhia.
 
Vipi bikra yako ipo hatarini?

Hhahahahahahahahahahaaa looh!!

Sio kwa uchokozi huo... nimerudisha kumbukumbu nyuma kama nilishawahi kuongelea kuhusu bikira yangu humu....

Iko hivi, kama wanasemaga mwanamke ana bikira moja ya kunako katereroo basi ilishatokaga miaka mingi tuu nikiwa nasoma chuo huko.

Ila kama wanasemaga mwanamke ana bikira mbili na ingine ikiwa ni kunako kinyeleo, basi mie bado ninayo hiyo, maana sitaki kuikosa raha ya kukata gogo bana. Raha ya kukata gogo ni yawe yanatoka kwa interval yaani linashukaaa halafu sphincter muscles zinakata gogo linaachia chini halafu linaanza kushuka jingine....

Zoezi hilo likiwa linaendelea mie huku naimba kibwagizo cha ule wimbo mtamu....
''Moyo wangu mi nakupa, usasambue... usasambue....
Fanya unavotaka, usasambue.... usasambue...
Nivuruge kama.......... usasambue... usasambue...''

Hhahahahahahaaa nimejibu swali kirefuuu... nashindwaga kufupisha aiseeh.

Kasie Matata
 
Hahahaaa. Jamaani Kaka. Ndio nasikia kwako hilooo ujue.

Mie najua kikubwa kuridhiana bhaas hivyo hata ukija na baskeli ya kukodisha ujue jiko utapata kwa yule uliyemridhia naye akawa amekuridhia.
Hahaha,itabidi unipe muongozo vizuri,maana nina safari ya Tanga soon,na nilishaanza maandalizi ya Vespa!

Kwavile umeshantoa waswas basi naamin kila kitu kitaenda vizuri!
 
Nitakuwa mteja wako we nambie tu kijiwe chako
 
Hahaha,itabidi unipe muongozo vizuri,maana nina safari ya Tanga soon,na nilishaanza maandalizi ya Vespa!

Kwavile umeshantoa waswas basi naamin kila kitu kitaenda vizuri!
Hahahaaa. Na dada yangu naye utampeleka wapi sasa.

Hau unataka uongeze wa pili. Teh teh.
 
Hahahaaa. Na dada yangu naye utampeleka wapi sasa.

Hau unataka uongeze wa pili. Teh teh.
Hahaha,si unajua Tanga ndio mapenzi yalipozaliwa!natafuta kamchepuko tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha,si unajua Tanga ndio mapenzi yalipozaliwa!natafuta kamchepuko tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaa. Lol.

Kama ni hivyo andika maumivu na kama utampata basi jiandae kumsahau dada yangu sababu utashikwa unajua kushikwa yaani utashikwa hasaaaa mpaka utasahau ulipotoka.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,aisee mbona unanitisha,mpaka unanifanya nifikirie kusitisha zoezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…