Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

mjaja4

Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
43
Reaction score
19
Jamani mimi ni mfugaji nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, lakini nakwama jinsi gani ntapata wapi mayai ya kutotoleshea viranga vya broilers na layers?

Kwa yoyote mwenye ufaham basi naomba muongoza wapi ntayapata hayo mayai na treyi inakua kiasi gani?

Ahsante, naomba kuwasilisha wakuu!
 
Hiyo ni biashara kubwa sana mkuu,
Ili kuwa na hayo mayai inakupasa uwe na parent stock ya kuku tajwa.

Parent stock wanapatikana nje ya nchi mf sauzi.

Ngoja wajuzi watupe mwongozo zaidi.

Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
Nashkuru kaka wacha tusubiriee wajuzi kwanza
 
naomba nikusaidie unaposema broiler ni kuku wa nyama kwa hapa bongo amna sehemu wanapouza mayai ya broiler labda uko india na uholanzi au nchi zingine za ulaya na pia unaposema layer ni kuku wa mayai najua umemaanisha ni kuku wa mayai ya kisasa pia kwa hapa kwetu bongo hakuna parent stock ya mayai hapa kuna company zinazouza vifaranga yai uwezi kupata hata siku moja asante karibu
 
Kwa bei ya 6000 kwa tray ni uongo. Option iliyopo ni kuagiza nje tuu, South africa, Zimbabwe au Kenya ila kwa Kenya saiv hayapatikani pia. The best option ni kuagiza Southafrica, maana kule bei nafuu ila shida ni transportation ndo sina uhakika nayo ila mayai yapo.
 
Duh mpaka mayai inabidi kuimport, mbona balaa hili
 
Nimeenda mzee walisema hawauzi
Kabla ya corona yalikuwepo na niliona mwenyewe nikauliza bei nikaambiwa ni mayai ya broiler bei yake 6000/ watu wananunua kwa ajili ya kutotolesha.. lakini tangu corona itokee mambo yamekuwa tofauti
 
Kuna nyumba ipo mkabala na gate la VIP pale Julius Nyerere International Airport Dsm. Miaka ya 2015 nilikuwa naenda pale kila jumanne walikuwa wanauza mayai ya broiler. Nadhani walikuwa wanatoa Netherland. Sijui Kama bado wanaendelea
 
Kwa bei ya 6000 kwa tray ni uongo. Option iliyopo ni kuagiza nje tuu, South africa, Zimbabwe au Kenya ila kwa Kenya saiv hayapatikani pia. The best option ni kuagiza Southafrica, maana kule bei nafuu ila shida ni transportation ndo sina uhakika nayo ila mayai yapo.
Uwongo kivipi wakati interchick wenyewe walinambia ni 6000 ilikuwa mwezi wa pili kabla ya korona
 
Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
 
Kuna kampuni niliona iko SA wanauza mayai 360 kama Tsh 1.3M bila gharama za usafiri na sijui kodi zake bapa Tz zitakuwaje
 
Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
Umeomba radhi, that is maturity, umekuwa muungwana sana mkuu, hongera sana
 
Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
Hamna shida,Hapana sikusikia vibaya, niliyaona kabisa mayai yenyewe nikauliza nikaambiwa ni mayai ya broiler na bei yake nikaambiwa iyo na baada ya muda kuna watu walikuja kuyachukua walikuwa wanaenda kuyatotolesha,
Kwani yanatakiwa kuuzwa bei gani,
 
Kwa kampuni ya kufanya biashara ipate faida kidogo ili isife, hilo yani inatakiwa kuliuza sio chini ya sh 500. Kwa tray ni kama sh1500
 
Back
Top Bottom