Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

Nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, nitapata wapi mayai ya viranga?

Tunaweza kupata contact mzee wa hiyo kampuni

Kuna breed nyingi za broiler, ila breed nzuri ni Cobbs, Hubbard na Ross 308. Wasiliana nao direct watakupa response nzuri tuu. Wanajibu faster na wanakupa kile unachotaka na ukiwauliza maswali wanakujibu vizuri sana na kwa muda muafaka. Chek website zao chukua email wasiliana nao.
 
Back
Top Bottom