Nashkuru kaka wacha tusubiriee wajuzi kwanzaHiyo ni biashara kubwa sana mkuu,
Ili kuwa na hayo mayai inakupasa uwe na parent stock ya kuku tajwa.
Parent stock wanapatikana nje ya nchi mf sauzi.
Ngoja wajuzi watupe mwongozo zaidi.
Sent from my SM-A5100 using JamiiForums mobile app
Interchick wanauza mayai ya broiler 6000/ trei
Duh mpaka mayai inabidi kuimport, mbona balaa hiliKwa bei ya 6000 kwa tray ni uongo. Option iliyopo ni kuagiza nje tuu, South africa, Zimbabwe au Kenya ila kwa Kenya saiv hayapatikani pia. The best option ni kuagiza Southafrica, maana kule bei nafuu ila shida ni transportation ndo sina uhakika nayo ila mayai yapo.
Duh mpaka mayai inabidi kuimport, mbona balaa hili
Uwongo wangu nini, nitapeli nini? Kwani nimesema nauza au nimesema interchick ndo walikuwa wanauzaWe jamaa acha uongo, labda kama unataka kutapeli watu.
Kabla ya corona yalikuwepo na niliona mwenyewe nikauliza bei nikaambiwa ni mayai ya broiler bei yake 6000/ watu wananunua kwa ajili ya kutotolesha.. lakini tangu corona itokee mambo yamekuwa tofautiNimeenda mzee walisema hawauzi
Uwongo kivipi wakati interchick wenyewe walinambia ni 6000 ilikuwa mwezi wa pili kabla ya koronaKwa bei ya 6000 kwa tray ni uongo. Option iliyopo ni kuagiza nje tuu, South africa, Zimbabwe au Kenya ila kwa Kenya saiv hayapatikani pia. The best option ni kuagiza Southafrica, maana kule bei nafuu ila shida ni transportation ndo sina uhakika nayo ila mayai yapo.
Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.Uwongo kivipi wakati interchick wenyewe walinambia ni 6000 ilikuwa mwezi wa pili kabla ya korona
Umeomba radhi, that is maturity, umekuwa muungwana sana mkuu, hongera sanaNikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
Hamna shida,Hapana sikusikia vibaya, niliyaona kabisa mayai yenyewe nikauliza nikaambiwa ni mayai ya broiler na bei yake nikaambiwa iyo na baada ya muda kuna watu walikuja kuyachukua walikuwa wanaenda kuyatotolesha,Nikuombe radhi kwa kuhisi wewe ni tapeli, ila pia Inawezekana ulisikia vibaya au ni mayai yasiyo na ubora. Kwa sh 6000 ni bei sawa na mayai ya kawaida ya kula. Hapo kwa bei hiyo naona hakuna uhalisia kati ya bei hiyo na bidhaa yenyewe.
Hayo itakuwa kwa ajili ya parent stockKuna kampuni niliona iko SA wanauza mayai 360 kama Tsh 1.3M bila gharama za usafiri na sijui kodi zake bapa Tz zitakuwaje
Kwa kampuni ya kufanya biashara ipate faida kidogo ili isife, hilo yani inatakiwa kuliuza sio chini ya sh 500. Kwa tray ni kama sh1500Hamna shida,Hapana sikusikia vibaya, niliyaona kabisa mayai yenyewe nikauliza nikaambiwa ni mayai ya broiler na bei yake nikaambiwa iyo na baada ya muda kuna watu walikuja kuyachukua walikuwa wanaenda kuyatotolesha,
Kwani yanatakiwa kuuzwa bei gani,