Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
mkuu usiseme hivyo hata huku wapoHii itawahusu Wasukuma peke yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu usiseme hivyo hata huku wapoHii itawahusu Wasukuma peke yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
juzi nilikuwa kariakoo jengo la infix kuna jamaa ni fundi akaja na simu akamwonyesha mwenzie ,kuna kama waya uliachia simu ikagoma kuwaka, fundi akajadili wampige mteja bei ganiAchana na ma muvi kachukue kozi ya kutengeneza simu halafu fungua office classic utapiga hela mpaka uchanganyikiwe.
Ukipata wateja 10 tu kwa siku 100,000 haikukosi,si unajua kwenye ufundi simu hata MTU awe mjanja vipi ukimwambia kiasi Fulani cha hela abishi.
Doh[emoji16]juzi nilikuwa kariakoo jengo la infix kuna jamaa ni fundi akaja na simu akamwonyesha mwenzie ,kuna kama waya uliachia simu ikagoma kuwaka, fundi akajadili wampige mteja bei gani
mwisho mteja akatajiwa 100000
akalialia akatoa 70,000 kwa kulipia kufungua na kugundisha waya basiii
Watu wengi bado hawajui chochote kuhusu cmu ndo mana mafundi wanatake advantage,,assume cmu inagoma kuwaka data mtu anapeleka kwa fundi[emoji28][emoji28][emoji28]juzi nilikuwa kariakoo jengo la infix kuna jamaa ni fundi akaja na simu akamwonyesha mwenzie ,kuna kama waya uliachia simu ikagoma kuwaka, fundi akajadili wampige mteja bei gani
mwisho mteja akatajiwa 100000
akalialia akatoa 70,000 kwa kulipia kufungua na kugundisha waya basiii
Hata awe waziri au injinia wa EWURA ila ikija issue ya ubovu wa simu lazma azubaeAchana na ma muvi kachukue kozi ya kutengeneza simu halafu fungua office classic utapiga hela mpaka uchanganyikiwe.
Ukipata wateja 10 tu kwa siku 100,000 haikukosi,si unajua kwenye ufundi simu hata MTU awe mjanja vipi ukimwambia kiasi Fulani cha hela abishi.
Ubarikiwe sana mkuu huku kwenye simu na electronics kwa ujumla kunafanya poa sana.Mkuu nimesoma pale veta electronics kozi fupi ilikuwa 240000 miezi mitatu hiyo inahusu vifaa vyote vya umeme ikiwemo simu,radio,TV,inverter na matakataka yote kama hayo hiyo ada ilikuwa 2014 ila kama hujui kabisa ukirudi penda kwenda kwa mafundi wa mtaani utakuwa vizuri zaid imenipa manufaa mengi hii kazi sema nimeacha kutokana na kuona mchongo wa nje ya elimu ila mtu akijichanganya nafanya bila ya kusahau kuwa mtundu na software
Kila la khery mzeeKwa sasa nataka nianze mwenyewe mkuu