Nataka Nifanye hii Biashara, Wazoefu Tusaidiane

juzi nilikuwa kariakoo jengo la infix kuna jamaa ni fundi akaja na simu akamwonyesha mwenzie ,kuna kama waya uliachia simu ikagoma kuwaka, fundi akajadili wampige mteja bei gani
mwisho mteja akatajiwa 100000
akalialia akatoa 70,000 kwa kulipia kufungua na kugundisha waya basiii
 
Doh[emoji16]
 
Ukiwa na wazo lililojitosheleza hivyo usirudi nyuma likaishia njiani, no matter what malizia plan zako, kupata au kukosa mwisho wa siku yote maisha, muhimu ni kufanya jambo.
 
Ukiwa na wazo lililojitosheleza hivyo usirudi nyuma likaishia njiani, no matter what malizia plan zako, kupata au kukosa mwisho wa siku yote maisha, muhimu ni kufanya jambo.
Asante saana Mkuu..
 
Watu wengi bado hawajui chochote kuhusu cmu ndo mana mafundi wanatake advantage,,assume cmu inagoma kuwaka data mtu anapeleka kwa fundi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hata awe waziri au injinia wa EWURA ila ikija issue ya ubovu wa simu lazma azubae
 
Asanteni sana Wadau kwa Mawazo..
 
Ubarikiwe sana mkuu huku kwenye simu na electronics kwa ujumla kunafanya poa sana.
 
Anza kuifanya tuu mkuu maana biashara Ni Kama Bata ukimchunguza hautamla kwahiyo hiyo biashara usiichunguze we ifanye tu ikikataa unaachana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…