Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa makini na hao koboko.Kuna tetesi sumu ya nyoka ni dawa ya shinikizo la moyo watu tumeona fursa sasa hivi tunafuga koboko nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwa makini na hao koboko.Kuna tetesi sumu ya nyoka ni dawa ya shinikizo la moyo watu tumeona fursa sasa hivi tunafuga koboko nyumbani.
Tuko pamoja[emoji106]
amna sometime inauma had inafurahisha vijana wanaahidiwa maisha mazuri kwa kusoma miaka zaid ya 20na kitu mwisho wa sku wanatfta ajira miaka 5mpaka saba alafu baada ya kuanza kazivmiaka 5,na kuendelea anajifia sasa kuna faida gan ya kusoma hapoSasa ndio unacheka!?
haha kumbe mnajuana ,uza mchele wa plastic broHuna degree ww mm nakujua umemaliza form six juz
jamaa umepita mulemuleHili ni tatizo la Watu wengi na nisha wahi kusema kinacho sababisha vijana hasa Graduate wasijiajiri ni Aibu.
Yaani mtu anaona kuliko hata auze maji stend bora ake nyumbani.
Kuna aibu zifuatazo.
- Aibu kwamba rafiki zangu watanioanaje
- Ndugu wa karibu
-Graduate wenzangu
- Baba mkwe/mama mkwe
- Mke/mme/ mchumba/demu
Mimi huwa nasema hii dunia niko pekeee nimezaliwa pekee na siku nikifa najuga peke na sitazikwa na mtu ndani ya kaburi bali nitakua peke yangu kwenye jeneza.
Siwezi acha kufanya jambo kwa sababi ya kumuogop fulani.
Usione watu wako na tai ofisini wanalipwa pesa za ajabu sana.
We piga kazi Duniani uko peke yako
Nina degree ajira ni tatizo ,capital ni tatizo,kuna kaz nataka nianze kufanya kusajili lain but naogopa kuwa katisha tamaa wadogo zangu ambao nilikuwa ni mfano kwao? nifanye nn wa ndugu
Mkuu embu nije pm kidogoMi nafanya hii kaz nikichanganya na M-pesa na tigo Pesa.
Ebwana huku ni kuzur asikudanganye mtu nalaza wastan wa 14000 daily. Mwisho wa mwez commission ya 60000
Yaan
14000 * 30 = 420000
Commission =60000
Jumla/mwe 480,000
Hiyo ni usajili wa line tu bado COMMISSION ya mpesa. Karibu sana huku ni zaid ya ajira.
Kumbuka: hizo ni gharama baada ya kutoa chakula cha mchana.
Mh kwa_ mwezi mmoja unasajili lain 200? Uko juuMi nafanya hii kaz nikichanganya na M-pesa na tigo Pesa.
Ebwana huku ni kuzur asikudanganye mtu nalaza wastan wa 14000 daily. Mwisho wa mwez commission ya 60000
Yaan
14000 * 30 = 420000
Commission =60000
Jumla/mwe 480,000
Hiyo ni usajili wa line tu bado COMMISSION ya mpesa. Karibu sana huku ni zaid ya ajira.
Kumbuka: hizo ni gharama baada ya kutoa chakula cha mchana.
Wee jamaa wap nimesema nasajili laini 200?. Soma vizur mi nasajili laini 40 - 45 kwa mwezi. Sijui kwanini umeamua kusema laini 200?Mh kwa_ mwezi mmoja unasajili lain 200? Uko juu
Karibu mkuuMkuu embu nije pm kidogo
Ukikamilisha usajili kwa vd unapata 300@line.Wee jamaa wap nimesema nasajili laini 200?. Soma vizur mi nasajili laini 40 - 45 kwa mwezi. Sijui kwanini umeamua kusema laini 200?