Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Wanaume mnapenda sana mwanamke asiyejitambua
Ili umfanye kama rimoti unabonyeza tu

You don't accept challenges from us
Challenge gani ya kikuda namna hii, hii si challenge bali ni dharau
 
Asante....mawazo ya kutokuwaita ndugu zake yameanza kunijia(kumbuka ndugu zangu hawajui japo juzi nimewaeleza kifupi kuwa hatupo sawa).....kwani mali si nilitoa mie then wanataka kunipelekesha anaweza kuta siku anakuja nimetia kufuli

Hapo mnapokaa mmejenga au mmepanga?

Kuna namna yoyote unayomtegemea kifedha? Kwamba asipokuwepo utayumba?

Umesema mnakaa mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, frequency ya kuonana ikoje?

Samahani sijapitia comments zote kujua kama haya maswali yalishajibiwa.
 
Huyoo ni chaguo lakooo ×2 [emoji445][emoji445]
 
Asante....ni nyumba ya kupanga, kiuhalisia financially simtegemei cause ameweka nguvu kwao kusomesha na kuwajengea wazazi wake, kwa sasa tupo pamoja baada ya kufanikiwa uhamisho mwaka jana
 
hasa mlioana hili iweje ....mi ktu ambacho stakuja kufanya ni kuoa kutia sign ya kuishi pamoja hyo sifanyi.....mimi ni kaa ukichoka sepa.
 
Mim mwenyew nataka kuachia ngazi na nikiachana nae sioi tena maisha yangu yote hawa viumbe kuishi nae unahitaji kua na moyo waziada sio huu wanyama tuliopewa na Mmuumba
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Haiwezekani....hapo ni kupiga chini tu....pumbafu
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Hapo hawawezi kumaliza tatizo...! Yameshawafika shingoni, solution nikuachana tu
 
Watu mna moyo, yaan mimi baada ya ndoa mwisho wa mwezi salary sleep lazima niikute mezani tofauti na hivyo anajua Mimi huwa sipangiwi,

Wewe Huyo ulimuendekeza mambo ya uchumba mkaenda nayo mpaka kwenye ndoa atakusumbua sana na hakuna ushauri wa ndoa siku yakifika shingoni hata muda wa kuandika huku utakuwa huna!
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Huwo upumbavu niligoma kufanya, hata Dogo Siku yake ya uchumba nilimwambia ole wako nikuone na hakupiga, mwanamke ndiye alipiga goti kuipokea!
 
Huwezi kusema mwanaume kiburi kwa mke wake unawakosea heshima vidume wote..! Ila huyo mwanamke ndio jeuri
 
Achukue Akili Za Jiwe
Amfute Kazi
 
Yaani hivyo vitu viwili ulivyoorodhesha ndiyo kila kitu Mkuu. Bahati mbaya akina dada zetu wa sasa wanachukulia poa sana (hasa suala la heshima kwa mume). Mume haitaji vitu vingi kutoka kwa mkewe, anachohitaji ni ile "imani" kuwa mkewe anamuheshimu na kuiheshimu kauli inayotoka kinywani mwake. Ninachoamini wanamume wanaoheshimiwa na wake zao na kutokea kutengana huwa "wanajuta sana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…