Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu


Soma niliyemqoute
 
Baada ya dharau kuzidi kuna jamaa mmoja aliamua kuua mkewe na shemeji yake.

Nilimshangaa lakini kwa style hii ya huyo mkeo.

Kwanza ningemlamba huyo shemeji hadi tigo then nawafyekelea mbali wooooooooote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhaaaa

Mkuu na ww umezidisha upole,

Alafu kikubwa nacha msingi wanaume wenzangu, tusiwe concentrated na hela za wanawake, tuwaache tu watumie watakavyo.

Kama anagalamia ndugu zake we muache pambana na hali yako, wew ujue mtakula nn nyumbani na fikiria watoto wako basi.

Mwanaume fikiria kuongeza kipato chako every day.

Ila kama mwanamke anaanza na mambo ya michepuko huyo sasa ni kahaba, ulitakiwa utambue mapema kabla hujaowa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndiyo madhara ya wanaume kupiga magoti wakati wa kuwavisha pete wake zao. Unapandwa kichwani since day one.

Wewe hapo hukuoa uliolewa, fukuza haraka sana uende kanisani ukajichagulie mtoto mbichi mkali sana atakayesuuza moyo wako.
Hahahaha nachekaga sana unampigia magot wakat wa kumvalisha Pete ili ugundue nini
 
Hawa viumbe sijui wana nini tu, mi pia tunaishi mikoa tofauti sababu ya kazi wote watumishi.
2021 alikopa bila taarifa tsh1mil nikachukia sana but ni kosa la kwanza nikamsamehe. Tushaelewana tunafanya pamoja kila kitu, wakati huo mm pia nina mkopo crdb wa 10 mil, tuliutumia kujenga , 2022 ndo alihamishhwa nikakopa 20 mil kwa ajili ya kumjengea nyumba haikuisha nikamwambia naye akakopa 5mil tumalizie sass juz napitia salalry slip yake naona anadaiwa 5mil more kutoka maboto na crdb ila mkopo ninaoujua ni nmb mmoja tu, hapa tuna siku ya 3 hatuongei, najiuliza huyu anakopa anapeleka wapi helaani anamweka kama.next of kin wake , je anajengs kwao ama ana mwanaume anamkopea?
 
KATAA NDOA, TUKIWAAMBIA HAMTUELEWAGI
 
Uliyataka mwenyewe, mmeoana ukoo hapo sio wewe na yeye.

Kama Muislam toa talaka tu.
 
Wazee wetu miaka ya nyuma walikua wanaachisha Kazi wake zao ili walee familia lakin kuna faida nyingine pia, anapopata hela ndivyo anakua na power na ndipo anapopata kiburi kwamba huna cha kumfanya.

Mungu aliposema mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho lake alikua na maana kubwa Sana. Kama hatutarud katika msingi huu ndo nyingi zitavunjika na Mali mtagawana, unaanza upya msisha
 


Kaka kimbia, shetani huyo
 
Mwanamke mpumbavu utamjua tu!!
 
Hakika ,hakika
 
Hapo mnaposema hamuongei ndio nini? Muulize hizo hela anapeleka wapi?
 
BABA LEA WATOTO upo mkuu? Mrejesho vipi baada ya mkeo kurudi?

Lengo ni kujifunza. Pole kwa uliyopitia.
Mkuu kitambo Sana.... nashukuru Kwa maoni ya wadau....lakini ukweli ndoa hiyo haikuweza kurekebishika, hivyo nilivunjika....haikuchukua muda mchawi akajulikana kwani baada ya muda mfupi Tu anaolewa maisha yakaendelea ...nami nimeona maisha yanaendelea nipo na afya na amani zaidi ndoto zangu nashukuru mungu inatimia moja baada ya nyingine.
 
Pole kwa changamoto lakini pia hongera kwa kujitoa mapema kuna familia sio za kuoa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…