Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Mimi ni mwanamke ila km usemayo kweli muache asije kukuletea ngoma bure.
Huyo kashindikana na familia yake nao wajinga kutetea uovu wa mtoto wao!
Madame sina sababu hata chembe ya kusingizia...I do believe kwamba ninamapungufu pia but visa hivyo vyote ni kweli tupu tena nimepunguza ili members wasisindwe kusoma!
 
probably yupo kusahihisha mitihani ya form 4
 
Piga chini mkuu
 
Mkuu mimi siwezi kushauri muachane kwa kuwa sijui vema dhamira yenu ya kuoana.. ila nadhani mnachopishana hapo ni kiburi... mwanamke kiburi na mwanaume kiburi... angalien namna ya kumaliza tofaut zenu, msiishi kama maadui, haipendez, kila mmoja atambue wajibu wake na kuutimiza kwa kadri ya uwezo wake. Lakini pia, kila moja ajue msingi wa ndoa na kuzingatia...

Usione wazee wetu wanaishi kwenye ndoa kwa miaka 40, ukadhani hawana matatizo.. suluhsho la tatizo syo kulikimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…