BABA LEA WATOTO
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 352
- 782
- Thread starter
- #21
Sina sababu ya kumsingizia mtu zaidi nimepunguza!
Kama haya unayoyazungumza nikweli basi Fanya maamuzi braza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haya unayoyazungumza nikweli basi Fanya maamuzi braza
Kabla ya yote ningependa kujua huyo mkeo ni kabila gan..Ingawa nishahis atakua anatokea pamde za juu juu huko
Madame sina sababu hata chembe ya kusingizia...I do believe kwamba ninamapungufu pia but visa hivyo vyote ni kweli tupu tena nimepunguza ili members wasisindwe kusoma!Mimi ni mwanamke ila km usemayo kweli muache asije kukuletea ngoma bure.
Huyo kashindikana na familia yake nao wajinga kutetea uovu wa mtoto wao!
probably yupo kusahihisha mitihani ya form 4Sijui kwann niliumbwa kwa akili ya kuchunguza... Ningekua mm kwanza ningekua nmeshachunguza uhalali wa hiyo kazi, wiki tatu , hapokei simu ,nkazi gan?? Kaenda na akina nan..kwann huongei nahao akina nanani.
Ningechunguza kiasi kwamba ningegundua kua,yupo kwa huyo mwanaume alokua anamuomba hela usiku wa manane.
AMINI AMIN NAKUAMBIA ,HAPA DUNIAN MAHITAJI MAKUBWA ANAYOTAKA MWANAUME TOKA KWA MKEWE NI
[emoji117]HESHIMA HESHIMAAA
[emoji117]SEX
....... Inawezekana kabisa , wee unakoswa yote hayo. Au unapata sex lkn unakoswa eshima ,au vyote kwapamoja kwa wakat mmoja.
Huyo dem inawezekana kwao ndo mtoto wa kwanza( Wanakuaga ni Matatizo).
SERIOUS,,USIPOKUA MWANAUME, UTAKUFA SIKU SIO ZAKO.
Kitendo cha mke wako, kutopokea simu, anakuta missed call lkn hakujulish .......... Kwangu angekua kanipa sababu ya kuachana naye.
Ni dharau za kiwango cha Kimataifa.
ili uhangaikie hela ya kumpeleka dogo chuo............... so sad!Kweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?![emoji102][emoji102]
Sasa maelezo kama haya mtoa.mada ayaweke.probably yupo kusahihisha mitihani ya form 4
Wee ndio mwanamke uyo nayemuona kwa Avatar.Mimi ni mwanamke ila km usemayo kweli muache asije kukuletea ngoma bure.
Huyo kashindikana na familia yake nao wajinga kutetea uovu wa mtoto wao!
hajibu msg, hapokei simu, pia mda mwingi simu zinakua offSasa maelezo kama haya mtoa.mada ayaweke.
Nahata tukichukulia kua anasahihisha mitihan,,,..
Sasa nn kinachofanya jamaa alalamike !!???
Ndio usemacho nikweli.... Sasa km wee unalitambua ili...inamaana mumewe halitambui ili???hajibu msg, hapokei simu, pia mda mwingi simu zinakua off
Piga chini mkuuMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!