Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu


Waongo
Utakuta ni wachepukaji first class

Wakileta madhila humu wanajisafisha kama wao ni wasafi sana
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Shem ebu mpe eksipiriensi ya ndoa yako labda inaweza kumuokoa asizame.
 
Kusomesha ndugu kipindi hiki mtu unatakiwa ujipange haswa, usipoangalia mnaanguka wote. Kosa kubwa hapo ni kutokusikilizana na kuelewana. Mke akisema lake hapingwi, mume akitaka lake hapingwi so lazima kuwe na mtifuano.

Apart from her infidelity (which seems to be the main issue), mngekaa mkajadiliana. Ila tatizo ameshaanza kuachia nyama nje, its gonna be so difficult to mend your marriage.
 
Pole ndugu, ndoa ni gereza la hiari, ndio maana inaitwa "kufunga pingu" ukifungwa pingu unakuwa hauko huru, naona kama umechagua pingu isiyo zaiz yako
Imebana au imepwaya???
 
Mwanamke mpuuzi sana huyu, anatufanya tuonekane wanaume wote vimeo!!

Usipomwacha usije tena kulia lia hapa!
 
Mzee baba hao viumbe n pasua kichwa mm nilishaachaga kuwaelewa siku nyingi sana Kama kweli yupo hivo achana nae tafuta mwingine alafu yawezekana anakuzid elimu
 
Umeshaachana mara ngapi mkuu na kuoa mara ngapi
 
Naona umesemea ya kwake

Angekuwepo tumsome na yeye!
hata vitabu vya dini vinasema mwanamke atavunja ndoa yake kwa mikono yake! huwa sio rahisi kwa mwanaume kumuacha mwanamke.emu nimbie ni kosa gani kubwa ambalo mwanaume anaweza kufanya mpaka mwanamke akaamua kumuacha mwanaume? ukiacha la kuhudumia familia
 
Halafu bado unakuja humu unasema soon". Nashakia uanaume wako na msimamo wako kwenye hiyo Ndoa.
Sielewi unataka uone dalili nyengine ili uamini kuwa hapo hakuna Ndoa, Mke wala future kati yako na huyo Dada.
Acha kuchelewa, act as a Man. Kuanza upya si ujinga bro
 
huyo mwanamke anadharau sio kidogo yani wiki 3 zote,mie nilidhani siku 3
 
Adi unacoment hapa leo hii tayari umeshavunja ndoa ngapi tafazali😱😱😱😱
 
Siku akurudi jifanye ulimmiss kama una gari jioni mtoe out mle mnywe mnunulie na zawadi mkiwa mnarudi nyumbani tembea 100kph tafuta mti au nguzo ya umeme lengesha ubamize upande wake, usumbufu wote utaisha!
 
Wanaume wengi umri wetu wa kuishi ni mdogo ukilinganisha na wanawake kwa sababu kama hizi, yaani wewe unawaza kupita kiasi karibia kichwa kipasuke halafu yeye hana hata wasi wasi.
mimi hawala asipopokea simu kutwa moja, namuweka dust bin...
Ushauri wangu muache kabla ya Tarehe 20/12/2018 majira ya saa 5:30.
 

We nae hujielewi hivi mwanaume unazinguliwa na shemeji na mkeo kweli yaan washakusoma wakaona nawe ni zoba kama wao hebu jisimamie kama dume uone kama akikushinda achana nae wala hata hao ndugu utawapa tu taarifa na mtu asikuulize chochote baba
 
Ila yeye anasemea mke mkuu sio hawaraaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…