Lignocaine
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 290
- 738
Tengua uteuzi ili usalie kwenye right track
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana nakushauri fuata moyo wako vile unatakaHaya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake
Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu
Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Hakika uliyoyaongea, maana ukiona kwako kunaungua basi ujue kwa mwenzako kuna teketea. Wanawake wote mwalimu wao mmoja.Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake
Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu
Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Mdada wa "Lol" upogo?[emoji23][emoji23][emoji23]
kahaba we nadhani huwajui embu uliza watu humu hao ndo wamefanya ndoa zetuMwanamke ambaye hutakiwi kuishi naye ni kahaba na au mshirikina.
Mdada wa "Lol" upogo?
Unapenda sana kusema "lol"...karibu PM nikunong'oneze kitu
Kuko mukide kabisaa mrembo...nmepulizia dawa ya wadudu watambaao siku si nyingi[emoji3][emoji3]Naogopa naskia kuna Wadudu wanaotambaa huko...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naogopa naskia kuna Wadudu wanaotambaa huko...
Umeongea fact, kuvunja baraza la mawaziri si mchezo but inawezekana
Kiukweli sijakuelewakahaba we nadhani huwajui embu uliza watu humu hao ndo wamefanya ndoa zetu
Assumptions za nini sasa mkuu, hapa kama mahakamani tunadeal na kesi iliyo mezani kama mtuhumiwa hapatikani tunatoa hukumu in absense.Mfano hii story iko upande mmoja kushutumu mke it seems wqnalipiziana sasa mwanaume ndo analia hasa baada ya kuchuniwa week Tatu hivi
anatoa mimba yuko kwenye ndoa ili tu asomeshe mdogo anayekuletea jeuri....aisee UNABIDI TU UFANYE MAAMUZI YA KIUME..AKAOLEWE NA MDOGO WAKE HUKOMadame sina sababu hata chembe ya kusingizia...I do believe kwamba ninamapungufu pia but visa hivyo vyote ni kweli tupu tena nimepunguza ili members wasisindwe kusoma!
Mkuu naona tunafanana mtazamo .....maixha mafupi sioni haja ya kuwa na stress ya kutafuta pesa pamoja na mahisiano .............mm nakupa talaka akiwa huko huko. .....ni uamuzi wanguSijui kwann niliumbwa kwa akili ya kuchunguza... Ningekua mm kwanza ningekua nmeshachunguza uhalali wa hiyo kazi, wiki tatu , hapokei simu ,nkazi gan?? Kaenda na akina nan..kwann huongei nahao akina nanani.
Ningechunguza kiasi kwamba ningegundua kua,yupo kwa huyo mwanaume alokua anamuomba hela usiku wa manane.
AMINI AMIN NAKUAMBIA ,HAPA DUNIAN MAHITAJI MAKUBWA ANAYOTAKA MWANAUME TOKA KWA MKEWE NI
[emoji117]HESHIMA HESHIMAAA
[emoji117]SEX
....... Inawezekana kabisa , wee unakoswa yote hayo. Au unapata sex lkn unakoswa eshima ,au vyote kwapamoja kwa wakat mmoja.
Huyo dem inawezekana kwao ndo mtoto wa kwanza( Wanakuaga ni Matatizo).
SERIOUS,,USIPOKUA MWANAUME, UTAKUFA SIKU SIO ZAKO.
Kitendo cha mke wako, kutopokea simu, anakuta missed call lkn hakujulish .......... Kwangu angekua kanipa sababu ya kuachana naye.
Ni dharau za kiwango cha Kimataifa.
Possiblykukushauri ni ngumu,hatujayajua maelezo ya upande wa pili, ukute na Wewe una mazonge kibao, kaeni mzungumze Kama mnapendana kweli.