Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Duuh tungemsikiliza na bidada ingekuwa vyema, tunaweza kuona mke mbaya kumbe na wew una mapicha picha hayavumiliki. Ila una force mke ayavumilie matokeo yake ndio hayo mtu anaamua kumbwaga manyanga
 
Mie simshangai huyu kaka kusita kufanya maamuzi lakini,,,,familia ni kama investment,kupoteza na kuanza upya ni swala linaloogofya kidogo ,wengi wanakufa na tai zao shingoni
 

Mwanaume hamuachi mkewe?
Kuna case kama za mume kupata mchepuko Akasukwa akasukika

Kuna mambo ya mume kupata ghafla na kuamua kutafuta wa fasheni

Kuna mume kukimbia majukumu maisha yakimlemea!
 
Dukua simu yke upate sababu nzito ya kuachana naye
 
Mkuu, kwanza pole sana kwa haya uyapitiayo kwa sasa......
Maisha ya kuishi wawili ni maisha yanayoitaji busara na maelewano..
Hadi sasa kutokana na maelezo yako, inathibitisha wazi hakuna muelekeo mzuri kati yako na mkeo...
Ninawasiwasi hata mimba aliyoitoa yawezekana haikuwa yako Mkuu.
Pili maamuzi ya kukopa Bank pasipo kukushirikisha ni kosa kubwa ambalo linaonyesha dharau aliyonayo kwako.. Mkeo ameshindwa kuwa mwaminifu kwako hadi kuomba pesa kwa kidume mwingine, hii inathibitisha ANA KUSALITI waziwazi...πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Achana kabisa na huyo mwanamke kabla hujapata jeraha kubwa litakalo kuchoma sana....

MUACHEEE AENDE ZAKEEEβœ”βœ”βœ”
 
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake!

Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada!

Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa.!!


HUNA MKE braza. Tengua teuzi, na anza mchakato wa kuoa kwingine. Kila la kheri.
 
NI Mwaliimu?

 
Mfano hii story iko upande mmoja kushutumu mke it seems wqnalipiziana sasa mwanaume ndo analia hasa baada ya kuchuniwa week Tatu hivi
Nimekutana nayo sana
Tena utakuta mwanaume anaongea kwa ushupavu sana

Ila wanawake huwa wanasema basi bwana ndo imeshatokea (malipo yake sasa!)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…